I Anga ni udongo ambapo waandishi hukusanyika, na mbegu za maneno ni pana, kwa miibuko ya shairi inaweza kutokea II Anga, haina maneno yakuandikwa na ufahamu kuwekwa akiba III Muandishi hujaza anga na maneno, maana asili ya maneno hayo hotoa changamoto kwa wajuzi mvuto wa maneno hayo unasamaa utu IV Mshangao ni utani wa ajaabu kulaumu bahati kwani anga imejazwa na kufutwa na muandiishi na maneno yanayo fahamisha V Ikiwa utaalamu huu unatumbuiza msomaji, ukubwa, ni Ikiwa utaalamu utasaidia kuliisha njaa yangu, kushiba iwe mimi. Lkini, Ikiwa utaalamu huu hautasomwa, mtu mwengine anaweza kupata umefichwa kwenye hali za anga, kupasupasuka, kuachaniswa, na kuunganisha mwisho wa kituo | Entry #34423 — Discuss 0 — Variant: Tanzaniantanzswa
|